Tunafahamu kuwa muda ni rasilimali muhimu sana katika maisha. Ndiyo maana kila unapokuwa tayari kutoa hata dakika chache, kuchati nasi inbox kwako; tunapenda upate kitu kitakachoongeza thamani ya muda huo, katika kukunufaisha kiuchumi/kibiashara—ukiwa popote.
Emmanuel Online Working Library tunahusika na Ubunifu wa graphics mbalimbali—kulingana na hitaji lako. Pia tunashirikisha maarifa ya namna nyingine za kuendelea kunufaika kiuchumi na kibiashara kupitia WhatsApp.
Ofa zilizopo hapa, kwa ajili yako ni:
• Ofa ya kupata kitabu chochote kwa punguzo kubwa la TSH 1,500 (elfu moja mia tano)—softcopy (PDF).
Picha na orodha [vitabu 6] ipo hapo chini.
• Ofa ya kutengenezewa kalenda [2021]—yenye picha zako; kwa TSH 1,500 (softcopy). Mfano mojawapo upo hapo chini.
____________________
VITABU:
1. Ofa ya kitabu—PDF [kwa TSH 1,500]: Namna ya kutengeneza graphics kwa smartphone na kuwahudumia wahitaji waliopo WhatsApp.
Njia ya kukipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF.
Idadi ya kurasa: 31.
Unaweza kukipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
2. Kitabu—PDF [kwa TSH 1,500]: Njia rahisi ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp (ili kuandaa na kupata wateja).
Njia ya kukipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF.
Idadi ya kurasa: 58
Unaweza kukipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
3. Kitabu—PDF [kwa TSH 1,500]: Njia rahisi ya kuuza maandishi yako (documents/PDF books)—mtandaoni.
Njia ya kukipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF.
Idadi ya kurasa: 38.
Unaweza kukipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
4. Kitabu—PDF [kwa TSH 1,500]: Njia rahisi ya kuuza na kufundisha maarifa ya uzoefu/taaluma yako maalum—mtandaoni.
Njia ya kukipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF.
Idadi ya kurasa: 114.
Unaweza kukipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
5. Kitabu—PDF [kwa TSH 1,500]: Njia rahisi ya kuingiza sehemu ya kipato kwa kuandika kwa ajili ya wengine mtandaoni—online typing.
Njia ya kukipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF.
Idadi ya kurasa: 55.
Unaweza kukipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
6. Kitabu—PDF [kwa TSH 1,500]: Namna nzuri ya kujiajiri wenyewe kwa smartphone na Whatsapp.
Njia ya kukipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF.
Idadi ya kurasa: 55.
Unaweza kukipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
KALENDA.
7. Kalenda—PDF & picha [kwa TSH 1,500]: Kutengenezewa kalenda ya 2021, yenye picha zako 2 au 3 kwa TSH 1,500 (softcopy).
Njia ya kuipokea: WhatsApp (inbox)/e-mail.
Fomati: PDF & picha yake origino.
Idadi ya kurasa: 1 (miezi yote 12 pamoja).
Unaweza kuipata leo, inbox kwako kwa kuingia HAPA [ INBOX DOOR].
________________
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE:
No comments:
Post a Comment