Wednesday, 16 June 2021

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana.
• Tumia audio kwenye mazingira halisi—dukani, sokoni au mtaani.
• Tumia video mtandaoni—whatsapp, YouTube, facebook na instagram.
--------------------------------------------------------
1. TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO ZA NAMNA HII.
Tunatengeneza tangazo zuri la fomati ya audio, utakaloweza kulitumia katika kutangaza; kwenye mazingira yako—dukani, sokoni au mtaani.

BEI TSH 10,000/ audio ya sekunde 60.
Unachotakiwa kufanya ni kutuma maelekezo ya tangazo lako, kwa ujumbe (text),  sauti au kupiga simu.
Tutatengeneza audio nzuri itakayochanganywa na ala nzuri ya muziki nyuma yake. 
Karibu sana!
_____________
2. TANGAZA KWA KUTUMIA VIDEO ZA NAMNA HII.
Tunatangaza kupitia WhatsApp, kwa sababu tumesevu namba za watu wa kutosha.
Kuna vikundi vya WhatsApp, P2P Sales Prospecting na mara kadhaa status.

Tunachokifanya tunatengeneza clip yako kwa kutumia picha zako na maelezo yako ambayo tutayatengenezea audio ya video hiyo.

Video inakuwa shared kwenye vikundi vyetu vya WhatsApp. lakini pia inawekwa YouTube na unapewa link ya kuishea maeneo mengine—whatsapp, facebook, instagram n.k.

BEI YETU NI TSH 20,000/-
Yaan,
• TSH 15,000 ya kuitengeneza clip yenyewe; yenye sekunde 60—ikiwa unataka kuichukua na kuitangaza mwenyewe.

• TSH 5,000 kuiweka youtube (ili kuwa na link yake utakayopewa) na sisi kuishea kwenye vikundi vya WhatsApp na kwa P2P Sales Prospecting kupitia WhatsApp–kwa miezi mitatu—haitaondolewa YouTube.

Unachotakiwa kufanya, ni kutuma picha kadhaa unazotaka ziwepo kwenye video hiyo, na maelekezo kiasi (kwa ujumbe au sauti); maelekezo ambayo yatatupatia mwanga wa kuitengenezea audio itakayochanganywa na biti fulani la muziki nyuma yake; ili kusikika nyuma ya video yako.
______________________
MATANGAZO YETU MENGINE
------------------------------------

No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...