Tuesday, 25 May 2021

Maarifa Ya Uzoefu Au Taaluma Yako Maalum Ni Kipato Mtandaoni.

Maarifa Ya Uzoefu Au Taaluma Yako Maalum Ni Kipato Mtandaoni.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:

(i) Kuweka maarifa uliyonayo; kutokana na uzoefu wenye manufaa kwa watu au taaluma yako maalum uliyosomea, kwenye fomati rahisi za maandishi, au video na audio rahisi mtandaoni—hasa hasa kwa uhakika wa kuwafikia watu wanaopatikana kwa urahisi kupitia WhatsApp, facebook na instagram.

(ii) Utaweza kutumia vizuri vikundi vya WhatsApp (WhatsApp Groups); kama madarasa ya maelekezo ya moja kwa moja kwa wanafunzi waliolipia mafunzo.

(iii) Kuitumia blogu ya bure (rahisi kuifungua mwenyewe) kama maktaba (library) ya wanafunzi wako.

(iv) Ikiwa utapenda pia, kuitumia chaneli ndogo rahisi ya bure youtube katika kutangaza kile kilichopo kwenye shule yako ya mtandaoni.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,500
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.

•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:
----------------------------------------



No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...