Wednesday, 2 June 2021

Biashara Bora—Kuliko Biashara Ya Fedha Na Dhahabu.

Understanding, Knowledge And Wisdom.
———————
Heri mtu yule aonaye hekima, Na mtu yule apataye ufahamu.
Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha, Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.
Yeye ana thamani kuliko marijani, Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye.
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kuume, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Ref: MITHALI 3:13-16.

Kwa nini MUNGU amesema hivyo? Kwa sababu yeye pia alitumia utaratibu huu. Hebu angalia hapa chini:

Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;

Kwa maarifa yake vilindi viligawanyika; Na mawingu yadondoza umande.
Ref: MITHALI 3:19-20.

Ndiyo maana, pia anasema:

Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Ref: MITHALI 4:7.
Asante.
________________
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE—MTANDAONI.
Ads:
--------------------------
• Maarifa Rahisi Yenye Tija Kiuchumi & Kibiashara Mtandaoni [Angalia/tembelea (visit)].
--------------------------
• Njia Nyingine Ya Kuongeza Wateja Kupitia WhatsApp [Angalia/tembelea (visit)].
--------------------------
• Namna Ya Kufanya Ubunifu Na Uuzaji Wa Graphics Kwa Smartphone Na WhatsApp [Angalia/tembelea (visit)]. 
--------------------------
• Kujiajiri Mwenyewe Kwa Smartphone Na WhatsApp [Angalia/tembelea (visit)]
--------------------------
• Mahali Pa Kutengenezewa Graphics Nzuri—Kulingana Na Hitaji Lako [Angalia/tembelea (visit)].
--------------------------
--------------------------



No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...