Unaweza Kujiajiri Mwenyewe Kupitia WhatsApp Na Smartphone.
(i) Kuboresha matumizi yako mazuri ya mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi, yaani:
✓ Simujanja (Smartphone) yako.
✓ Sehemu ya Kifurushi cha Intaneti.
✓ Sehemu ya muda wa kuwepo Mtandaoni (online presence).
✓ Apps za kufanikisha kazi/huduma na mambo mengine yenye wateja waliopo WhatsApp [kama tulivyoelezea kwenye kitabu].
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp.
(ii) Kutumia rasilimali hizi katika kuanzisha biashara ndogondogo [za bila kukutana ana kwa ana] na baadhi ya mambo mengine yenye wateja wanaopatikana WhatsApp.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,000
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:
----------------------------------------
No comments:
Post a Comment