Inawezekana Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia WhatsApp.
• Kitabu hiki kina audio zilizorekodiwa na darasa la moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sales Via WhatsApp).
• Kwa kupitia kitabu hiki au programu nzima ya maarifa haya, utaweza:
(i) Kutumia njia (mpya) ya kuhifadhi (save) namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga—ndani ya muda mfupi.
(ii) Kuwafikia watu wengi ndani ya siku chache; kwa mpango rahisi unaopimika na kuboresha kwa urahisi. Jambo litakalokuongezea watu wanaosevu namba yako, ili kuongeza watazamaji wengi wa status zako—kwa haraka.
(iii) Kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa (wasio na kikomo) kupitia WhatsApp.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 4,500
BEI YA PROGRAMU NZIMA: TSH 12,000
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:
----------------------------------------
No comments:
Post a Comment