Monday, 24 May 2021

Inawezekana Kuwatambua Wateja Wako Waliopo WhatsApp.

Inawezekana Kuwatambua Wateja Wako Waliopo WhatsApp.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:

(i) Kuchambua watu wanaoweza kuwa wateja wako [wa sasa na siku zijazo], kutoka kwenye vikundi maalumu vya WhatsApp—kati ya vile unavyojiunga.

(ii) Kutumia njia nyingine mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, kwa kubuni vifupisho (abbreviations) vya majina ya vikundi vya WhatsApp—ili kurahisisha zoezi la kutengeneza mifumo rahisi ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—kwa utulivu wenye matokeo mazuri.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,500
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.

•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:
----------------------------------------

































No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...