Thursday, 20 May 2021

HII NDIYO SABABU, BAADHI YA WATUMIAJI WA WHATSAPP WANAFANYA HAYA.


Kila anayetumia WhatsApp, anayo simujanja au kifaa kingine chochote chenye uwezo wa kuingia kwenye App hii, na kuitumia.

Kuna mambo mengi tunayoweza kufanikisha kwa urahisi hivi saaa; yenye matokeo mazuri kiuchumi na kibiashara.

Biashara nyingi zinahitaji watu. Watu wengi wanapatikana kwa urahisi sana hivi sasa , kupitia WhatsApp. WhatsApp ina mamilioni ya watu.
  • Dunia nzima: watu zaidi ya bilioni 2.
  • Afrika nzima: watu zaidi ya milioni 525.
  • Tanzania: watu zaidi ya milioni 10.

Watu wengi miongoni mwao wanapatikana kwenye vikundi mbalimbali vya whatsapp: mahali ambapo tunaweza kupata mawasiliano yao.

Mwaka 2019, nilipata njia nzuri ya kusevu namba za WhatsApp kwa urahisi. Katika njia hii:

• Tunabuni kifupisho cha jina la kikundi (group) husika, ili kutumia kifupisho hicho katika kusevu namba zote; nitakuonyesha mfano. 

• Kwa mfano kikundi cha whatsapp kinaitwa BIASHARA YA SIMU TANZANIA. Kuna washirika 200 (200 participants), ambao namba zao hazijahifadhiwa kwako, na unataka kuzisevu.

• Tutabuni kifupisho cha BIASHARA YA SIMU TANZANIA, kuwa 'BST' au 'BISITA', tuchague kutumia BISITA. Zitaandikwa BISITA 1 hadi BISITA 200.

• Utafanya hivi kwa kila kikundi unachoamua kusevu namba. Kama kwa mfano, vikundi vingine vina wastani wa washirika 200—kila kikundi. 

Majina mengine ya mifano ya vikundi vya WhatsApp yawe ni:

1. NAFASI YA NAFSI KWENYE MAAMUZI: tunaweza kuzisevu kama NNKM. Zitaandikwa kama NNKM 1 hadi NNKM 200.

2. SEMINA ZA MAHUSIANO YA NDOA: tunaweza kuzisevu kama SEMAN. Zitaandikwa kama SEMAN 1 hadi SEMAN 200.

3. SOKO LA VITABU MTANDAONI: tunaweza kuzisevu kama SVM. Zitaandikwa kama SVM 1 hadi SVM 200. 
Mifano hii mitatu inatosha.

Ukijifunza njia hii, utakuwa na uwezo wa kusevu namba 300 hadi 500 kwa siku; kutoka kwenye vikundi unavyoamua kusevu. 

Kuna dokumenti yetu fupi ya PDF, yenye maelekezo ya hatua moja hadi nyingine, katika kusevu namba hizi kwa haraka. Inapatikana kwa TSH 2,500. Unaipata inbox kwako, WhatsApp, baada tu ya kulipia kiasi hicho.

Utakuwa ukizihifadhi namba hizi  kwenye e-mail, ili kuwa na hifadhi ya kudumu, yenye namba nyingi zaidi. 

Vilevile kwenye dokumenti hii, kuna namna nzuri ya kuzitumia namba hizo; katika kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp, kwa urahisi na utulivu mkubwa.

Utashangazwa sana na njia mpya za kuwatambua wateja wako wa sasa, na kuandaa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo kupitia WhatsApp.

Utawafikia watu wengi waliopo WhatsApp, kwa utulivu sana. Kwa mfano ukisevu namba za vikundi 25 (25 WhatsApp Groups), vyenye wastani wa washirika 200 kila kikundi; ndani ya siku chache utakuwa umehifadhi (save) namba za watu elfu tano (5,000 contacts).

Utafahamu pia namna nzuri ya kutumia lebo hizo, katika kuweka mpango mzuri wa kuwafikia na kuwafahamisha uwepo wa wako, au huduma na biashara yako.

Utakuwa na nafasi nzuri ya kuendelea kuongeza namba nyingine, kwenye contacts list yako. Hakuna kikomo. Kila siku vikundi vipya vya WhatsApp vinatengenezwa na watu mbalimbali. Unayo nafasi ya kupata namba nyingi kwa njia hii bila ukomo.

Kwa mbinu pia ambazo zipo kwenye dokumenti yetu hiyo ya PDF (kwa TSH 2,500), jambo hili pia, kuna namna linakupa:

• Nafasi nzuri ya kupata watu wengi wanaofikiwa na kusevu namba yako.

• Hii ni hatua ambayo itakupa watazamaji wengi sana wa status zako za biashara; kwa kadiri unavyozidi kutunza namba nyingi na kuwafikia watu wengi zaidi—ndani ya muda na mpango unapimika.


Nimependa sana kuwashirikisha watu wengi waliopo WhatsApp, jambo hili. Ikiwa umenielewa, basi utakuwa miongoni mwa watu kadhaa wanaonufaika na jambo hili.

Karibu sana.
___________
Kutoa taarifa yoyote inbox kwetu WhatsApp, ingia HAPA [INBOX DOOR].


------------------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
------------------------------




















































No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...