WhatsApp Enhanced Economy School (WEESCO) Books (PDF) And Programs.
Ninafurahi kukuthibitishia kuwa, umefanikiwa kufika kwenye posti hii kwa sababu tayari unazo rasilimali mbili; zenye uwezo wa kutumika katika kuleta mafanikio makubwa kiuchumi. Rasilimali hizo ni: Simujanja (Smartphone) na WhatsApp.
Smartphone na Whatsapp, zinaweza kutumika kwa ufanisi mkubwa, unaoleta mafanikio kiuchumi na kibiashara. Ukweli huu ni kwa yule aliye na biashara na hata kwa yule asiye na bidhaa au biashara yoyote.
Hapa chini kuna sababu sita (6), za uhakika; zinazothibitisha kuwa 'Wanaotumia WhatsApp Watanufaika Sana Kiuchumi/Kibiashara Mwaka Huu 2021'.
Nitazitaja zote sita (6), kisha nitafafanua kwa ufupi moja baada ya nyingine.
1. Wateja wako sio hao tu.
2. Inawezekana kuwatambua wateja wako waliopo WhatsApp.
3. Inawezekana kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
4. Unaweza kujiajiri mwenyewe kupitia WhatsApp na smartphone.
5. Unaweza kuuza maandishi yako mtandaoni~kupitia WhatsApp.
6. Maarifa ya uzoefu au taaluma yako maalum ni kipato mtandaoni.
KUMBUKA: WhatsApp inakadiriwa kuwa na watumiaji wengi sana.
- • Dunia nzima: zaidi ya bilioni 2.
- • Afrika: zaidi ya milioni 525.
- • Tanzania: zaidi ya milioni 10.
___________________________
1. Wateja Wako Sio Hao Tu.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:
(i) Kufahamu uwezekano wa kuwa na mawasiliano ya watu wengi waliopo WhatsApp, na jinsi unavyoweza kuamua na kuchagua aina ya watu na idadi ya watu unaotaka kuwafikia—ndani ya muda ulio kwenye nafasi yako.
(ii) Kuwa na eneo lako binafsi: mahali ambapo watu wengi waliopo WhatsApp watatembelea na kuangalia huduma au bidhaa zako pekee—kwa utulivu.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,000
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
2. Inawezekana Kuwatambua Wateja Wako Waliopo WhatsApp.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:
(i) Kuchambua watu wanaoweza kuwa wateja wako [wa sasa na siku zijazo], kutoka kwenye vikundi maalumu vya WhatsApp—kati ya vile unavyojiunga.
(ii) Kutumia njia nyingine mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, kwa kubuni vifupisho (abbreviations) vya majina ya vikundi vya WhatsApp—ili kurahisisha zoezi la kutengeneza mifumo rahisi ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp—kwa utulivu wenye matokeo mazuri.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,500
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
3. Inawezekana Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia WhatsApp.
• Kitabu hiki kina audio zilizorekodiwa na darasa la moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sales Via WhatsApp).
• Kwa kupitia kitabu hiki au programu nzima ya maarifa haya, utaweza:
(i) Kutumia njia (mpya) ya kuhifadhi (save) namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga—ndani ya muda mfupi.
(ii) Kuwafikia watu wengi ndani ya siku chache; kwa mpango rahisi unaopimika na kuboresha kwa urahisi. Jambo litakalokuongezea watu wanaosevu namba yako, ili kuongeza watazamaji wengi wa status zako—kwa haraka.
(iii) Kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa (wasio na kikomo) kupitia WhatsApp.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 4,500
BEI YA PROGRAMU NZIMA: TSH 12,000
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
4. Unaweza Kujiajiri Mwenyewe Kupitia WhatsApp Na Smartphone.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:
(i) Kuboresha matumizi yako mazuri ya mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi, yaani:
✓ Simujanja (Smartphone) yako.
✓ Sehemu ya Kifurushi cha Intaneti.
✓ Sehemu ya muda wa kuwepo Mtandaoni (online presence).
✓ Apps za kufanikisha kazi/huduma na mambo mengine yenye wateja waliopo WhatsApp [kama tulivyoelezea kwenye kitabu].
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp.
(ii) Kutumia rasilimali hizi katika kuanzisha biashara ndogondogo [za bila kukutana ana kwa ana] na baadhi ya mambo mengine yenye wateja wanaopatikana WhatsApp.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,000
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
5. Unaweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni~Kupitia WhatsApp.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:
(i) Kutumia smartphone yako, katika kuwezesha Apps tatu za kukusaidia kuandika vitabu na dokumenti nyingine nzuri—kwa urahisi bila kuhitaji maarifa mengi katika kuanza.
(ii) Kuuza vitabu na dokumenti zako nyingine fupi fupi, kwa urahisi sana—kwa wateja wanaopatikana kwa urahisi hivi sasa kupitia WhatsApp.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,500
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
6. Maarifa ya uzoefu au taaluma yako maalum ni kipato mtandaoni.
• Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza:
(i) Kuweka maarifa uliyonayo; kutokana na uzoefu wenye manufaa kwa watu au taaluma yako maalum uliyosomea, kwenye fomati rahisi za maandishi, au video na audio rahisi mtandaoni—hasa hasa kwa uhakika wa kuwafikia watu wanaopatikana kwa urahisi kupitia WhatsApp.
(ii) Utaweza kutumia vizuri WhatsApp Groups kama madarasa ya maelekezo ya moja kwa moja kwa wanafunzi waliolipia mafunzo.
(iii) Kuitumia blogu ya bure (rahisi kuifungua mwenyewe) kama maktaba (library) ya wanafunzi wako.
(iv) Ikiwa utapenda pia, kuitumia chaneli ndogo rahisi ya bure youtube katika kutangaza kile kilichopo kwenye shule yako ya mtandaoni.
------------------------
BEI YA KITABU: TSH 2,500
FOMATI YA KITABU: PDF
UPATIKANAJI: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO: 0743 517 138.
•° Unaweza kupata kitabu hiki leo [INBOX] kwa kutoa taarifa WhatsApp HAPA [inbox Door].
________________________
UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:
----------------------------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
No comments:
Post a Comment