• Library.
Kwa ajili ya:
1—•°• Huduma za kukutengenezea graphics mbalimbali kulingana na hitaji lako.
2—•°• Kushirikisha maarifa ya kuendelea kunufaika kiuchumi kupitia intaneti.
--------------------------
PICHA ZA UFAFANUZI:
--------------------------
Tutakutengenezea posters/flyers, business card, logo/nembo, lebo za bidhaa, vipeperushi, mabango, vyeti, kalenda yenye picha zako unazotaka, video fupi fupi za matangazo—kwa kutumia picha na company profile (simple).
Bei zetu ni Tsh 2,500-50,000.
___________
Maarifa haya yanatolewa kwa vikundi vya WhatsApp (maelekezo na ufafanuzi wa moja kwa moja), vitabu (PDF) na audio zilizorekodiwa.
____________
Vitabu hivi vinapatikana kupitia WhatsApp au e-mail, mara tu baada kulipia kitabu husika.
Bei ya kila kitabu ni Tsh 1,500 (kwa sasa).
____________
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE:
____________
KITABU: Kazi Za Kujiajiri Mwenyewe Kwa Smartphone Na WhatsApp.
Leo napenda upate kitabu kizuri mno, kwa bei ya ofa ya TSH 1,000/-. Kina kurasa 55 tu, na kinapatikana kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail), baada tu ya kulipia.
Baada ya kusoma kitabu hiki, utagundua kuna rasilimali tano (5) rahisi, ambazo zinaweza kutumika kukuingizia sehemu nzuri ya kipato kupitia wateja wengi wanaopatikana WhatsApp.
Rasilimali hizo ni:
- 1. Uwanja wa wateja wasio na kikomo WhatsApp.
- 2. Sehemu ya muda wa kufanya kazi zenye wahitaji wake WhatsApp.
- 3. Simujanja (Smartphone).
- 4. Kifurushi cha kawaida cha intaneti.
- 5. Apps za kufanya kazi unazopenda kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp.
Utatumia mtaji/rasilimali hizi katika kutoa huduma zenye wateja wa uhakika kupitia WhatsApp.
Wateja ambao watakulipa wakiwa kulekule waliko, na kuzipata bidhaa za kidigitali (Digital/Downloadable Products)—kupitia mtandao—bila kukutana ana kwa ana.
• Ubunifu na uuzaji wa graphics mbalimbali.• Uandishi na uuzaji rahisi wa vitabu au dokumenti fupi fupi za PDF.• Utengenezaji wa matangazo rahisi ya fomati za audio na video fupi—kwa kutumia picha za biashara husika.• Kufungua shule rahisi ya mtandaoni na jinsi ya kuweka mfumo utakaokulipa vizuri.
Bila kusahau biashara ndogo ndogo zenye wahitaji wake WhatsApp.
Karibu sana.
BEI YA KITABU (OFA): TSH 1,000 badala ya TSH 2,500.
FOMATI YA KITABU: PDF (softcopy).
IDADI YA KURASA: 55.
NJIA YA KUKIPATA: WhatsApp & E-mail.
MAWASILIANO:
0743 517 138.
0763 258 095.
E-mail: emmanuellibraries@gmail.com
___________________
___________________
Pata kalenda yenye picha zako leo, popote ulipo.
No comments:
Post a Comment