Saturday, 12 June 2021

Ajira Za Kujiajiri Mwenyewe Kupitia WhatsApp Na Smartphone.

• Online Working Library.

Rafiki, popote pale ulipo, leo natamani upate kitabu kitakachokuongezea thamani ya muda unaoutumia kwenye WhatsApp—kwa bei ya ofa ya TSH 1,000/-. Kina kurasa 55, na kinapatikana kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail), baada tu ya kulipia.

Baada ya kusoma kitabu hiki, utagundua kuna rasilimali tano (5) rahisi, ambazo zinaweza kutumika kukuingizia sehemu nzuri ya kipato kupitia wateja wengi wanaopatikana WhatsApp.

Rasilimali hizo ni:
  • 1. Uwanja wa wateja wasio na kikomo WhatsApp.
  • 2. Sehemu ya muda wa kufanya kazi zenye wahitaji wake WhatsApp.
  • 3. Simujanja (Smartphone).
  • 4. Kifurushi cha kawaida cha intaneti.
  • 5. Apps za kufanya kazi unazopenda kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp.
Kwa kupitia kitabu hiki, utatumia mtaji/rasilimali hizi zinazopatikana kwa urahisi, katika kutoa huduma zenye wateja wa uhakika kupitia WhatsApp. 
Wateja ambao watakulipa wakiwa kulekule waliko, na kuzipata bidhaa za kidigitali (Digital/Downloadable Products)—kupitia mtandao—bila kukutana ana kwa ana.

Mfano wa huduma zilizozungumzia kwenye kitabu hiki ni:
• Ubunifu na uuzaji wa graphics mbalimbali.
• Uandishi na uuzaji rahisi wa vitabu au dokumenti fupi fupi za PDF.
• Utengenezaji wa matangazo rahisi ya fomati za audio na video fupi—kwa kutumia picha za biashara husika.
• Kufungua shule rahisi ya mtandaoni na jinsi ya kuweka mfumo utakaokulipa vizuri.
Pia kuna biashara ndogo ndogo zenye wahitaji wake WhatsApp. 

Karibu sana.

BEI YA KITABU (OFA): TSH 1,000 badala ya TSH 2,500.
FOMATI YA KITABU: PDF (softcopy).
IDADI YA KURASA: 55.
NJIA YA KUKIPATA: WhatsApp & E-mail.

MAWASILIANO:
0743 517 138.
0763 258 095.
___________________
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE:


No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...