• Online Library & Creative Designing Point.
------------------
Tunahusika na ubunifu wa graphics mbalimbali, kulingana na hitaji lako. Vilevile tunashirikisha maarifa ya kuendelea kunufaika kiuchumi kupitia intaneti—hasa hasa kupitia WhatsApp.
------------------
~~Hapa chini kuna picha tatu (3); za ufafanuzi wa mambo tunayojihusisha nayo, na jinsi unavyoweza kunufaika nayo—ukiwa popote.
1. Huduma za ubunifu wa graphics.
2. Vitabu sita (6) vinavyouzwa (softcopy—PDF), kwa Tsh 1,500 kila kitabu.
Unaweza pia kutembelea posti maalumu kuhusu vitabu hivi, kwa kufungua HAPA [VISIT].
3. Programu mbili za maarifa; kuhusu graphics na biashara kupitia WhatsApp.
Unaweza pia kutembelea posti maalumu, kuhusu ufafanuzi wa kila programu ya maarifa haya, na vitabu vyake, kwa kufungua HAPA [VISIT].
No comments:
Post a Comment