Wednesday, 2 June 2021

TUKIWA MAHALI POPOTE— PENYE INTANETI.

Tukiwa mahali popote penye intaneti, na tuna simujanja (Smartphone) yenye uwezo wa kuingia WhatsApp, tunayo fursa kubwa ya kufanya mambo kadhaa—kibiashara na kiuchumi kwa ujumla. 

Vilevile Smartphone ikiwa ni yenye uwezo wa kuwezesha Apps za kufanikisha kazi/huduma zenye wateja wengi waliopo WhatsApp; tunaweza kufanya mambo kadhaa yenye matokeo mazuri kiuchumi na kibiashara—popote tulipo.

Leo nitakutambulisha kwenye maeneo mawili; yenye maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp.

Maarifa haya yanatolewa kwa vitabu (softcopy—PDF), audio zilizorekodiwa na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi husika vya whatsapp. Nayo ni:

[1] Ubunifu na uuzaji wa graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuwahudumia wahitaji wateja waliopo WhatsApp.

• Hapa utapata kitabu, audio na maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp (Simplified Graphic Designing); kwa ajili ya kujifunza kutengeneza graphics kama vile; posters, kalenda, business card, mabango, lebo za bidhaa, logo/nembo, makava ya vitabu n.k 

★•★ Maelezo zaidi kuhusu mafunzo haya yanapatikana HAPA [VISIT].

_______________________

[2] Njia nyingine mpya ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.

• Hapa utapata au kuongeza maarifa rahisi ya njia mpya ya kukusanya na kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga na kuamua kusevu namba hizo.

• Utaweza kufahamu jinsi mbinu ya P2P Sales Prospecting, inavyoendana na wasapu; katika kuwatambua wateja wako kwa urahisi na kutafuta na kuandaa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo kupitia WhatsApp.

• Kutokana na maarifa ya vipengele hivyo pia, utapata njia mpya ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp, ndani ya muda mfupi ili kupata watazamaji wengi wa status zako—kwa utulivu na urahisi sana.

★•★ Maelezo zaidi kuhusu mafunzo haya yanapatikana HAPA [VISIT].


BARE LINKS:

https://surg88.blogspot.com/2021/05/simplified-graphic-design.html

________________
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE MTANDAONI:
Ads:

------------------




No comments:

Post a Comment

TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...