Rafiki, nafurahi sana kwa ujio wako mahali hapa.
Tunapenda kushirikishana taarifa, maarifa na huduma nzuri—zinazoweza kuongeza ufanisi katika yale unayojihusisha nayo—kibiashara na kiuchumi kwa ujumla.
Leo, kwa dakika chache sana, naomba tuguse maeneo mawili tu—ili kuokoa muda pia.
1. Eneo la vitabu vidogo vidogo sita (6); Njia sita za kunufaika vizuri kiuchumi—kupitia WhatsApp.
2. Eneo zuri la huduma za kukutengenezea graphics mbambali—kulingana na hitaji lako.
______________
VITABU SITA (6); Njia Sita Za Kunufaika Vizuri Kiuchumi—Kupitia Whatsapp.
• Unaweza kuangalia utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki, na kukipata kwa kutembelea HAPA [VISIT].
2. Inawezekana Kuwatambua Wateja Wako Waliopo WhatsApp.
• Unaweza kuangalia utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki, na kukipata kwa kutembelea HAPA [VISIT].
3. Inawezekana Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia WhatsApp.
• Unaweza kuangalia utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki, na kukipata kwa kutembelea HAPA [VISIT].
4. Unaweza Kujiajiri Mwenyewe Kupitia WhatsApp Na Smartphone Yako.
• Unaweza kuangalia utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki, na kukipata kwa kutembelea HAPA [VISIT].
5. Unaweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni ~ Kupitia WhatsApp Na E-mail.
• Unaweza kuangalia utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki, na kukipata kwa kutembelea HAPA [VISIT].
6. Maarifa Ya Uzoefu Au Taaluma Yako Maalumu Ni Kipato Mtandaoni.
• Unaweza kuangalia utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki, na kukipata kwa kutembelea HAPA [VISIT].
______________________
HUDUMA ZA KUKUTENGENEZEA GRAPHICS MBAMBALI—KULINGANA NA HITAJI LAKO.
Hapa utaweza Kutengenezewa Graphics kama vile: posters, flyers, business card, logo/nembo, kava zuri la kitabu chako, lebo za bidhaa, vipeperushi, company profile, vyeti, food menu, kalenda maalum zenye picha unazotaka na video fupi fupi za matangazo ya biashara au huduma yako—kwa kutumia picha za biashara au huduma zako.
Bei zetu ni: TSH 2,500-50,000.
MAWASILIANO:
0743 517 138
Karibu sana!
No comments:
Post a Comment