Wednesday, 16 June 2021
TANGAZA KWA KUTUMIA AUDIO NA VIDEO ZA NAMNA HII.
Monday, 14 June 2021
TUNAANZIA WAPI? TUNAANZAJE? —MABORESHO.
Mawasiliano:+255 743 517 138+255 657 178 911+255 763 258 095Dodoma, Tanzania.
EMMANUEL KIMANISHA @your inbox—whatsapp.
Mawasiliano:+255 743 517 138+255 657 178 911+255 763 258 095Dodoma, Tanzania.
Saturday, 12 June 2021
Emmanuel Kimanisha @Your Inbox—WhatsApp
- 1. Uwanja wa wateja wasio na kikomo WhatsApp.
- 2. Sehemu ya muda wa kufanya kazi zenye wahitaji wake WhatsApp.
- 3. Simujanja (Smartphone).
- 4. Kifurushi cha kawaida cha intaneti.
- 5. Apps za kufanya kazi unazopenda kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp.
• Ubunifu na uuzaji wa graphics mbalimbali.• Uandishi na uuzaji rahisi wa vitabu au dokumenti fupi fupi za PDF.• Utengenezaji wa matangazo rahisi ya fomati za audio na video fupi—kwa kutumia picha za biashara husika.• Kufungua shule rahisi ya mtandaoni na jinsi ya kuweka mfumo utakaokulipa vizuri.
Ajira Za Kujiajiri Mwenyewe Kupitia WhatsApp Na Smartphone.
- 1. Uwanja wa wateja wasio na kikomo WhatsApp.
- 2. Sehemu ya muda wa kufanya kazi zenye wahitaji wake WhatsApp.
- 3. Simujanja (Smartphone).
- 4. Kifurushi cha kawaida cha intaneti.
- 5. Apps za kufanya kazi unazopenda kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp.
• Ubunifu na uuzaji wa graphics mbalimbali.• Uandishi na uuzaji rahisi wa vitabu au dokumenti fupi fupi za PDF.• Utengenezaji wa matangazo rahisi ya fomati za audio na video fupi—kwa kutumia picha za biashara husika.• Kufungua shule rahisi ya mtandaoni na jinsi ya kuweka mfumo utakaokulipa vizuri.
Friday, 4 June 2021
📚♎ EMMANUEL ONLINE LIBRARY.
Wednesday, 2 June 2021
TUKIWA MAHALI POPOTE— PENYE INTANETI.
Tukiwa mahali popote penye intaneti, na tuna simujanja (Smartphone) yenye uwezo wa kuingia WhatsApp, tunayo fursa kubwa ya kufanya mambo kadhaa—kibiashara na kiuchumi kwa ujumla.
Vilevile Smartphone ikiwa ni yenye uwezo wa kuwezesha Apps za kufanikisha kazi/huduma zenye wateja wengi waliopo WhatsApp; tunaweza kufanya mambo kadhaa yenye matokeo mazuri kiuchumi na kibiashara—popote tulipo.
Leo nitakutambulisha kwenye maeneo mawili; yenye maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp.
Maarifa haya yanatolewa kwa vitabu (softcopy—PDF), audio zilizorekodiwa na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi husika vya whatsapp. Nayo ni:
[1] Ubunifu na uuzaji wa graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuwahudumia wahitaji wateja waliopo WhatsApp.
★•★ Maelezo zaidi kuhusu mafunzo haya yanapatikana HAPA [VISIT].
_______________________
[2] Njia nyingine mpya ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
• Hapa utapata au kuongeza maarifa rahisi ya njia mpya ya kukusanya na kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga na kuamua kusevu namba hizo.
• Utaweza kufahamu jinsi mbinu ya P2P Sales Prospecting, inavyoendana na wasapu; katika kuwatambua wateja wako kwa urahisi na kutafuta na kuandaa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo kupitia WhatsApp.
• Kutokana na maarifa ya vipengele hivyo pia, utapata njia mpya ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp, ndani ya muda mfupi ili kupata watazamaji wengi wa status zako—kwa utulivu na urahisi sana.

BARE LINKS:
https://surg88.blogspot.com/2021/05/simplified-graphic-design.html
------------------
BLUE INCOME SKILLS FOR GREEN MONEY.

Matangazo mazuri, kwa mazingira sahihi na kwa gharama nafuu sana. • Tumia audio kwenye mazingira halisi —dukani, sokoni au mtaani. • Tumia ...
-
Tunafahamu kuwa muda ni rasilimali muhimu sana katika maisha. Ndiyo maana kila unapokuwa tayari kutoa hata dakika chache, kuchati nasi inbox...
-
Inawezekana Kuwatambua Wateja Wako Waliopo WhatsApp. • Kwa kupitia kitabu hiki, utaweza: (i) Kuchambua watu wanaoweza kuwa wateja wako [wa s...